Coastal Tanzania Children Songs
Swahili schoolsongs
1. Hadija Muhammed - Bembea eeh
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
1. Hadija Muhammed, Bembea ee
1.2 MB
1:16 min
(in Kiswahili) Bembea eeh, eeh bembea eeh, bembea eeh, eeh bembea eeh, bembea eeh, eeh bembea mtoto x2 Mtoto nyamaza kulia (bembea mtoto) ukilia waniliza (bembea mtoto) klanikumbusha ukiwa (bembea mtoto).
(In English) Swing eeh, eeh swing eeh, swing eeh, eeh swing eeh,swing eeh, eeh swing baba 2x. Baby stop crying (Swing litle baby) When you cry you make me cry (swing baby) You make me unhappy (swing baby)
2. Hadija Muhammed - Kokorikoo
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
2. Hadija Muhammed, Kokorikoo
0.5 MB
0:32 min
(In Kiswahili) Kokorikoo mtoto analia, mama yake, kaenda Zambia, akirudi atanichukua.
(In English) Kokorikoo baby is crying, your mother has gone to Zambia. She will take me when she comes back.
3. Hadija Muhammed - Mtoto Fau
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
3. Hadija Muhammed, Mtoto fau
0.4 MB
0:29 min
(In Kiswahili) Mtoto Fau, akianza kulia, hanyamzi upesi, ya dede ya dede.
(in English) Child Fau, when she/he starts to cry, its too heard make her/him quiet.
4. Hadija Muhammed - Mwalimu wetu
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
4. Hadija Muhammed, Mwalimu yetu
0.7 MB
0:43 min
(In Kiswahili) Mwalimu wetu hapendi kelele, anapenda nyimbo na vigelegele. Akivaa kanga inamsumbua, akivaa tenge ni mawingu ya mvua.
(in English) Our teacher doesn't like noise, she likes songs and howling. When she wear kanga its disturbing her, when she wear tenge dark clouds of the rain are coming.
5. Hadija Muhammed - Moja, mbili, tatu!
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
5. Hadija Muhammed, Moja, mbili, tatu!
0.4 MB
0:33 min
(in Kiswahili) sabu namba moja, mbili, tatu x2 nne, tano, sita, saba, nane, tisa, kumi x2 vidole vya mikono yangu, Jumla yake kumi x2 huku tano na huku tano, jumla yake kumix2
(In English) I know how to count numbers one, two,three 2x. Four, five, seven, eight, nine, ten x2. This side five and this size five. The total is ten x2.
6. Hadija Muhammed - A, e, i, o, u!
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
6. Hadija Muhammed, a, e, i, o, u!
0.8 MB
1:09 min
(In Kiswahili) A, e, i, o, u x2 hizi ni herufi kuu, tamka kwa sauti kuu, sema a, e, i, o, u!
(In English) A,e,i,o,u x2. These are the main characters. Pronounce it louder! Say A, e, i, o, u!
7. Hadija Muhammed and Josef Wilson - Ogelea pale
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
7. Josef and Hadija, Ogelea pale.
1.3 MB
1:24 min
(In Kiswahili) Maji ya mtoni mama, sitayanywa tena , matumbili na manyani ogelea pale. Yanaogelea mama, ogelea pale. Mimi na rafiki yangu tuliopendana, Maji ya mtoni mama hatuyanywa, matumbili na manyani ogelea pale. Yanaogelea mama, ogelea pale.
(in English) Mama, I don't drink water of the rivers anymore because monkey and gorilla are swimming there. My friend and I went there , we don't drink the rivers water anymore.
8. Hadija Muhammed and Josef Wilson - Lazima ngizane
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
8. Josef and Hadija, Lazima ngizane
0.7 MB
0:46 min
(in Kiswahili) Lazima ngizane, lazima ngizane, lazima ngizane kula maleshu lelingzana x2. Na Joseph amale shule, "aeeh, amale shule" aeeh, Na Hadija amale shule, "aeeh, amale shule" aeeh.
(in English) Everyone should complete their education! this song is used to sing in choir with drum.
9. Hadija Muhammed and Josef Wilson - Aliyaa!
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
9. Josef and Hadija, Aliyaa!
0.2 MB
0:11 min
(in Kiswahili) Mchaka x2 chinja, alimselema adija! x2
10. Singer: Elizabeth Mosquito
City: Dar es Salaam
Song: Mapela, mapela
Download
Name
Play
Size
Duration
10. Elizabeth Mosquito, Mapela
0.6 MB
0:37 min
(in Kiswahili) Mapela, mapela, mama kapika ugali na kifaranga cha kuku. Tia hapa tia hapa eh eh eh! Kama hunitaki niambie eh eh eh! Nikae chini nilie eh eh eh! (solo) iye iyebaa (group) eh eh eh, makonde kabeba eh eh eh, kiyai cha mwana eh eh eh, tia hapa tia hapa.
(in English) Guava, guava, mama cooked ugali and small chick. Put here, put here! If you don't want me, tell me! So that I can sit down and cry. Makonde (person who belongs to the Makonde tribe) carrying a child's small egg. Put here, put here!
11. Saidi Chande - Lala mtoto
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
11. Saidi Chande, Lala mtoto
0.9 MB
0:59 min
(in Kiswahili) Lala mtoto, nitakuletea pipi, lala mtoto, lala mtoto, acha kulia, mama anarudi.
(in English) Sleep baby, I will give you sweet. Sleep baby, sleep baby, stop crying, your mom is coming back
12. Maulid - Watoto wana hakija kusema
City: Karatu
Download
Name
Play
Size
Duration
12. Maulid, Watoto wana hakija kusema mp3
1.7 MB
1:50 min
(in Kiswahili) Watoto wana hakija kusema na kusikilizwa wazazi tuwa tendee haki watoto wetu.
(in English) Children has a right to say and their parents can respect children rights.
13. Group of children - Namtaka nani
City: Moshi
Download
Name
Play
Size
Duration
13. Moshi children, Namtaka nani
0.8 MB
0:51 min
(In Kiswahili) Nawewe nani iyoyoyo? Na mimi Irene iyoyoyo. Wamtaka nani iyoyoyo? Namtaka rafika iyoyoyo.
Rafiki yako nani iyoyoyo? Namtaka nori iyoyo. Nawewe nori iyoyoyo. Rafiki yako iyoyoyo. Anakuita iyoyoyo
Mkadingi solo iyoyoyo. "Mbuta Mbuta na msodo. Aee namsondo. Nairobi, Nairobi. Sengesa waa!!" x2
(In English) And who are you... iyoyoyo? And I am Irene iyoyoyo. Whom do you need iyoyoyo? I need my friend iyoyoyo.
Who is your friend iyoyoy? I need Nori iyoyoyo. Nori iyoyoyo. Your friend iyoyoyo. Needs you iyoyoyo. Mkadingi solo iyoyoyo
’’Mbuta Mbuta na msodo’’. Aee namsondo. Nairobi, Nairobi. Sengesa waa!! x2
14. Group of children - Aiyolela
City: Moshi
Download
Name
Play
Size
Duration
14. Moshi children, Aiyolela
0.4 MB
0:29 min
(In Kiswahili) Aiyolela amba yolela yolela. Tunamuomba dada Flora. Aingie kiati ajirembe rembe
Ajikune kune adieze solo. Okota magunda peleka uganda. Yamepanda befi bei. Sukuma waa.
Tenatena waa. Supa mdundiko waa
15. Group of children - Nilikwenda msituni
City: Moshi
Download
Name
Play
Size
Duration
15. Moshi childen, Nilikwenda msituni mp3
0.5 MB
0:32 min
(In Kiswahili) Nilikwenda msituni aee aee. Kwenda kudiuma matunda aee aee. Tunda likaniponyoka aee aee
Likampiga rafiki aee aee. Rafika akafariki aee aee. Tunda tunda katikaa. Tunda tunda katikaa
Tunda tunda katikaa.
16. Simon Fredrik Simon - Mabata madogo dogo
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
16. Simon Fredrik, Wanaogelea
0.5 MB
0:34 min
17. Unknown artist - Kinnunnuu
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
17. Unknown woman, Kinnunnuu
0.3 MB
0:23 min
18. Donald and Dominick Samson
City: Musoma
Download
Name
Play
Size
Duration
18. Samson's boys
0.6 MB
0:42 min
19. Donald and Dominick Samson - Namtaka rafiki
City: Musoma
Download
Name
Play
Size
Duration
19. Samson's boys, Namtaka rafiki
0.6 MB
0:42 min
20. Saana Sana Band - Elizabeth, watoka wapi?
City: Dar es Salaam
Download
Name
Play
Size
Duration
20. Saana sana band, Elizabeth, watoka wapi mp3
0.5 MB
0:30 min