Children Songs Zanzibar
Songs collected from Zanzibar
1. Unknown artist and her son
Place: Zanzibar, Stowntown
Download
Name
Play
Size
Duration
1. Unknown woman and her son, Zanzibar
1 MB
1:04 min
(in Kiswahili) Mwanangu nakuchombeza, nakuchombeza ulale, ulale ukiamka nikupikie ubwabwa, nikupikie ubwabwa na mchuzi wa kangaja, usipoku kutosheleza nikupikie wa pweza, hoo ooh hooh mtoto. Usilie usilie ukaniliza na mie, machozi yako yaweke nikifa unililie, hoo ooh hooh mtoto.
(in English) I let you sleep, so when you work up I can cook rice for you, with Kangaja souce, if you will not like it, then I can cook octopus for you, oooh ooooh my child. Dont cry so I dont cry too. just keep your tears so you can cry after I die. oooh oooh ooh mtoto.
2. Unknown artist
Place: Zanzibar, Stonetown
Download
Name
Play
Size
Duration
2. Unknown woman, Zanzibar
0.4 MB
0:27 min
(in Kiswahili) nsuka pitia konde x2 kuna manywele kuna manywele tukayasonge, lyayongo lyalinda wakongwe, hoyaaaa hoyaaaa hoyaaa lyayongo lyalinda wakongwe.
(in English) If you go to Nsuka pass through Konde x2 there is a lot of hair, there is a lot of hair.
3. Unknown artist
Place: Zanzibar, Stonetown
Download
Name
Play
Size
Duration
3. Unknown woman, Zanzibar
0.7 MB
0:48 min
(in Kiswahili) Nalia hapa nalia hapa, gari ya punda sipandi sikulewa sikulewa wala sikuvuta bangi, laniua laniaua ua la mrangi rangi hohoho.. sikuwepo sikuwepo nyungu ikateketea aja mbio aja mbio azidi kuichochea mimi sikalii pendo nakalia mazoea.
(in English) I am crying here, I wont use the donkey’s car, I was not drunk and I didnt smoke ghanja. (parts of translation missing)
4. Halima Ali Khamis
Place: Zanzibar, Gamba Kigongoni
Download
Name
Play
Size
Duration
4. Halima Ali Khamis
0.3 MB
0:18 min
(in Kiswahili) Oo mtoto, oo mtoto, paka kalala njiani tumkanyage kichwani tuwapishe waenda kuni na waendao visimani hohoh hohoho mtoto
(in English) oo child, oo child, a cat is sleeping on the way lets step on its head so the people who are going to cut firewood and fetching water can go.
5. Halima Ali Khamis
Place: Zanzibar, Gamba Kigongoni
Download
Name
Play
Size
Duration
5. Halima Ali Khamis
0.3 MB
0:17 min
(in Kiswahili) Oo mtoto, mama yako kaenda pwani anakuletea nyama na huko kisiwani anakuletea pweza. pweza na biriani utakula sana, utakuula unenepe paka wangu usimpe anakutafuna mkia, mkia wake ntaukata.
(in English) ooh child, your mom has gone to the beach, she will bring you meet and octopus. you will eat octopus, you will eat so you become fat. dont give my cat. I will cut its tail.
6. Halima Ali Khamis
Place: Zanzibar, Gamba Kigongoni
Download
Name
Play
Size
Duration
6. Halima Ali Khamis
0.4 MB
0:28 min
7. Rayani Juma
Place: Zanzibar, Kuchani
Download
Name
Play
Size
Duration
7. Rayani Juma
0.2 MB
0:12 min
(in Kiswahili) Ana ana anado, pana pana panado, zinauzwa zinauzwa dukani, shin shilling shin shilling unapanda bei, unapata kutumia.
(in English) Ana ana anado, Panadol are sold at the shop. (parts of translation missing)
8. Rayani Juma
Place: Zanzibar, Kuchani
Download
Name
Play
Size
Duration
8. Rayani Juma
0.2 MB
0:15 min
(in Kiswahili) Bania bania umevunja mtungi wa watu, akirudi baba yako atakuja kukupiga hohho mama sijafanya makusudi nimejikwaa na jiwe mtungi ukavunjika.
(in English) Bania you have broke other people’s pot, when your father come back he will stick you. (parts of translation missing)
9. Rayani Juma
Place: Zanzibar, Kuchani
Download
Name
Play
Size
Duration
9. Rayani Juma
0.8 MB
0:50 min
(in Kiswahili) Mbuzi beberu walilia nini, nataka majani ,hayo hapo chini nataka samaki nenda baharini, nikijenga jumba jumba ya ghorofa, nikipanda juu likaporomoka, kitoto Asia kikaniokoa kikanipeleka mnanzi mmoja, Chumba cha kwanza nikapigwa sindano, chumba cha pili nikapimwa ukimwi, chumba cha tatu nikapewa dawa, vibibi viwili chinja vilienda sikoni chinja, kununua tumbaku chinja, tumbaku hakuna chinja, vikaanza kulia chinja machozi ya damu chinja, ebo ebo umezoea dezo unazani kila siku ijumaa.
(in English) why are ther billy goats crying, I want the grasses, there they are down, I want the fish, go to the beach, If I build the house with upper floors, and go up stairs, it will fall down. Asia the child will pick me up and take me to the hospital, in the first room I got needle, the second room I tested HIV, the third room I got medician. two old women slaughter they went to the market slaughter to buy tobacco slaughter there is no tobacco slaughter they started to cry slaughter blood tears slaughter ebo ebo you are used of free things, you think everyday is Friday.
10. Unknown artist
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
10. Unknown woman
1 MB
1:06 min
(in Kiswahili) aiwaiwa mtoto nikuchuchile ulale, ulale ukiamka usingizi wa za ngombe wa zangombe na kazija, kazija mwenzio kaja mtongoe kwa umoja, umoja wa mwanandani,mwanandani mtu gani9 mtu wa kusali jumwaa na vipindi vyema vyema, kule kuzimu tuendako kuna vitoto viwili, vyapalilia minazi na wingi wa mibayazi, utepe utepe wa kunde si utamu wa mbaazi, nna kijungu jikoni, kijungu cha mibayazi, bado sijatia nazi bado sijatia nazi.
11. Unknown artist
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
11. Unknown girl
0.6 MB
0:41 min
(in Kiswahili) Awani aiwani Mafunda, bibi yako kaenda mjini kafungwa kaiba polo mbili za mpunga hoho hoho mtoto hohoh
(in English) Awani Aiwani Oil, your grand mother has gone to town, she is rocked up because she has stolen rice, hoho hoho child.
12. Riziki Ali Ame
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
12. Riziki Ali Ame
0.3 MB
0:19 min
(in Kiswahili) Mtoto nakuchombeza nakuchombeza ulale, ulale ukiamka, nikupikie ubwabwa, na mchuzi wa kangaja, usipokutosheleza nikupikie wa pweza.
(in English) baby sleep, when you work up I will cook rice with souce for you, if you wont like it then I can cook octopus souce for you too.
13. Bishara Muhamed Hussein
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
13. Bishara Muhamed Hussein
0.2 MB
0:14 min
14. Riziki Ali Ame
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
14. Riziki Ali Ame
0.3 MB
0:20 min
(in Kiswahili) Ngakule nganda kitu bandike x2, ubwabwa mtoto auli babie hula mlezi na yule mieee hohoh hoho mtoto hohoh mtoto.
15. Singer: Bi Tatu Shehame
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
15. Bi Tatu Shehame
1.9 MB
2:06 min
(in Kiswahili) Aiwa iwa mtoto, mtoto mla totoo, mla ubwabwa wa moto kitumbo kifuke joto hohoohoh mtoto, nataka uji mawe balozi nataka uji maweee, nataka uji mawe balozi nataka uji maweee, naujima ntakao si watoto ni watu wazima weeeee, ngondo mnarani bulodoza lapanda mlima weee, nataka uji mawe balozi nataka uji maweee, nataka uji mawe balozi nataka uji maweee, naujima ntakao si watoto ni watu wazima weeeee, ngondo mnarani bulodoza lapanda mlima weee, hohoho waa mtoto. Ainana ainaa mwanangu usilie, usilie ukaniliza na mieee machozi yako yaweke, nikifa unililie ujipigepige nachi watu wakushikilie wengine wakujitue hohoh waaa mtoto hoo waaa.
(in English) aiwa iwa child, baby sleep, the one who will steal and eat baby’s rice his stomach should be fired inside hohooohoh child. Aina aina my child stop crying so I dont cry too, please keep your tears so you can cry after I die. (parts of translation missing)
16. Bi Tatu Shehame
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
16. Bi Tatu Shehame
1.1 MB
1:14 min
(in Kiswahili) hoooo waaa hoooo waaa mtoto waa. Saajaani weee saajani weee, saajaani weee saajani weee, kibiriti ngoma kibiriti ngoma majulufani mwanamke gani naeee. x2 hohooh mtoto.
17. Bi Tatu Shehame
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
17. Bi Tatu Shehame
0.6 MB
0:41 min
(in Kiswahili) hohoho mtoto x2, nakueleza hiyaaa chuka naupeleleza mchongoma huna miba x2 hohoho mtoto hohoho mtotox3 hohohohoohoh
18. Mwajuma Hulam Vuai
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
18. Mwajuma Hulam Vuai
0.5 MB
0:34 min
(in Kiswahili) hohohoh mtoto x2 mchotie mwanangu mafunda kaenda kwao kuchuma mpunga kaiba pishi mbili za mpunga hohoho mtoto, kitambaa changu cheupe kina madoa meupe ntaishi na dada nyote mbenduke nasema nyote mbenduke bendu bendu bendu.... hhoho mtoto x2
hohoho baby x2
(in English) my son mafunda has gone to his home picking rice. he has stolen two half gallon of rice hohoho baby, my cord is white it has white spots, I will live with all of you sisters.
19. Mwajuma Hulam Vuai
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
19. Mwajuma Hulam Vuai
0.8 MB
0:50 min
(in Kiswahili) hohohoho mtoto x2, mchutiapo mwanangu mtu alipati langu, uchungu na maji moto wenzangu nimeona peke yangu, hhoho mtoto hhoho x2 mshindo hoyaaa, mshindo hoyaaa tekeni maji kwa kikombe umbizi kamba alikombe, hohoho mtoto x2
(in English) hohoho baby x2 my child no one will get mine, bitterness and warm water I have just seen myself, hohohohoX2 fetch water by a cup hohoho baby x2
(parts of translation missing)
20. Wanuh Nahoda Manga
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
20. Wanuh Nahoda Manga
0.5 MB
0:34 min
(in Kiswahili) hoohooh hohohoh mtoto x2, mama aliponizaa eee kanizaa mbio mbio, kanimbia toka nje mwanangu ukacheze na wenzio, hohoho mtoto.
21. Tatu Habas Kombo
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
21. Tatu Habas Kombo
0.6 MB
0:38 min
(in Kiswahili) hohoohoh mtoto x2, mwana mchanga kuliaaa jua mamaee ayupooo, nauliza majirani eeeee awamjui alipo x2, hohohoh mtoto x2
(in English) Hohoho baby, newborn baby is crying on the sun and her mother is not here. I am asking neubours, do you know where is her mother? hohoho baby
22. Tatu Habas Kombo
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
22. Tatu Habas Kombo
0.4 MB
0:29 min
(in Kiswahili) hohoooho mtoto ajabu hiyooo iliyotokea chake, kibanda kuwaka udongo makuti yasiwake x2 hohooh mtoto x2
23. Wanuh Nahoda Manga
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
23. Wanuh Nahoda Manga
0.8 MB
0:53 min
(n Kiswahili) hohohoh mtotox2, mama weee mama mdogox2 kenda kwao kenda kutembea kavimba tumbo kisa umbea x2..hohoho mtoto x2, kuni ndogo ndogo zaitwa chanjax2 , kuni kubwa kubwa zaitwa magogo x2, hohoh mtoto x2.
24. Mwajuma Hulam Vuai
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
24. Mwajuma Hulam Vuai
0.7 MB
0:48 min
(in Kiswahili) hohoho mtoto x2, hohooh mtoto usilie x2, kofia bovu mwenzenu afungwaaa, mkoroshoni karibu na pemba ukanita njoo wallai sakuja wasemaje leoo x2 hohohoo mtoto heheh mtoto hhehe mtoto lala. hohoho mtoto x2
25. Surah Vuai Hiame
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
25. Surah Vuai Hiame
1.4 MB
1:33 min
(in Kiswahili) hohohoho mtoto x2, wamliwaoooo waganga wee wamlimao waganga, kuku yangu ya muhanga wamliwaoo waganga x2 hoohohoh mtoto x2, kimlimani chadanda wee x2 kimlimani chadanda kidege chamtilianga kimlimani chadanda. x2 hohoho mtoto aiiiwaii waii mtoto x2 nyamaza usilie.
26. Surah Vuai Hiame
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
26. Surah Vuai Hiame
0.9 MB
0:56 min
(in Kiswahili) hohohooh mtoto x2,mwajuma wee mwajumaaa,mwajuma gwee moyo ee mambo ni yayo kwa yao usambe kwa ntendea mie ee kule uendako ndo hayooo. hohohoho x2 , hhoho mtoto x2.
27. Wanuh Nahoda Manga
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
27. Wanuh Nahoda Manga
0.3 MB
0:20 min
(in Kiswahili) ohohooh mtotox2, limshindalo tumbili na mlimwengu alili nyumba mmoja uja kutia mafuta utauwezaje uwili, hohohooho mtoto x2
28. Wanuh Nahoda Manga
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
28. Wanuh Nahoda Manga
0.3 MB
0:21 min
(in Kiswahili) hohohoh mtoto x2, njiwaa hehheeh njiwa ehehe x2 umenipendeza mlio ndewa mtege njiwa x2,ndewa mtege ndewa mtege., hohoohoho mtoto x2
29. Mwajuma Hulam Vuai
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
29. Mwajuma Hulam Vuai
1.1 MB
1:12 min
(in Kiswahili) kwenda wapi na ungo mpakani kuna mbaazi zangu x2 hohohho mtoto x2, kwenda wapi na ungo huko mpakani kuna mbaazi zangu x2, kuna mbaazi zangu ooo x2, nalia na wangu moyo moyo wee x2 nalia na wangu moyo nalaumiwa x2, kanka tande we balozi x2, kilicho mlimani balozi wataka upewe chagua cheusi chekundu waachie wenyewee. hohoho mtoto x2.
30. Mwajuma Hulam Vuai
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
30. Mwajuma Hulam Vuai
0.6 MB
0:43 min
(in Kiswahili) cheni yangu imeanguka mtoni x2 saa sita naizinga siioni napiga hodi naikuta shingoni x2 hohoho mtoto x2..............x2
(in English) My neckless has felt in to the river, at twelwe I was looking for it but I did not see it but then I found it in my neck.
31. Mwajuma Hulam Vuai
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
31. Mwajuma Hulam Vuai
0.6 MB
0:41 min
(in Kiswahili) susu ya machungwa leteni tugawe x2, nasingiziwa na fulani nnae japo siku moja ntalala nae x2..hhohoho mtoto x2...........x2
32. Surah Vuai Hiame
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
32. Surah Vuai Hiame
1.1 MB
1:14 min
(in Kiswahili) hohohoho mtoto x2, washanigeuza mwendo chepu wataniuaaaa x2, anijengee kibanda kwetuuu wee tunda ua chepu wataniuaaa x2, songa mbele songa mbele rudi nyuma rudi nyuma x2 hohoohohooh x3 hohohohooh mtoto.
33. Surah Vuai Hiame
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
33. Surah Vuai Hiame
0.7 MB
0:49 min
(in Kiswahili) hohooohx2 hhoohoho mtoto x2. utalea mwenyeweeee eee x2 yangu mwana njee uniongoeee, hohohohoh x2 hohohoohoh mtoto x2
(in English) hohoho baby, you will grow. (parts of translation missing)
34. Silima Vuai
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
34. Silima Vuai
0.8 MB
0:55 min
(in Kiswahili) na mtweee weee na mtweeeee x2 namtweketelaaaaa namtweketelaaa namtweee, mmmmmmmmmmmmmm, hohohoho mtoto x2
35. Silima Vuai
Place: Zanzibar, Nungwi
Download
Name
Play
Size
Duration
35. Silima Vuai
1.3 MB
1:25 min
(in Kiswahili) hohooho hooh mtoto x2, naaliaa naliaaa nakumbuka mazoea x2, mwanangu usilie ukaniliza na mie, nyamaza unieleze kosa unalolilia x2.....x2 hohohohohoho mtoto x2, nungu yenu naiama naamia kwa mwana changu kijungu kidogo cha nyama x2, hohohohho mtoto hohoho mtoto x2
(in English) hohoho baby, I cry, I cry, I remember Mazoea. My baby, don't cry, you make me to cry. Don't cry, tell me why are you crying. (parts of translation missing)
36. Silima Vuai
Place: Zanzibar, Nungwi